Alisema uzinduzi wa biashara saa 24 unatarajiwa kufanyika Februari 27, mwaka huu. Chalamila alitaja maeneo yatakayoanza ...
Chanzo cha picha, DAWASA Maelezo ya picha, Kazi za kusafisha chanzo cha mto Ruvu zikiendelea, mto unaotumika kuzalisha asilimia 90 ya maji ya jiji la Dar es Salaam kupitia mitambo ya Ruvu juu ...
SERIKALI imesema itatumia mfumo wa ushirikiano na sekta binafsi (PPP) katika Mradi wa Mabasi Yaendayo Haraka Dar es Salaam ...
Umati wa watu ulifurika barabarani kuuaga mwili wa Dkt John Pombe Magufuli jijini Dar es Salaam Maelezo ya picha, Baadhi ya mitaa ya jiji la Dar es Salaam imefurika umati wa watu waliokuja ...
Hatua hii inakuja ikiwa ni siku moja tangu Mwananchi itoe habari ikieleza namna wafanyabiashara, bodaboda walivyojipanga na maboresho hayo ya ufanyaji biashara.
Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam imejiwekea lengo la kukusanya na kutumia Sh bilioni 140 katika mwaka wa fedha wa ...
MKUU wa Wilaya ya Ilala, Edward Mpogolo, Mkurugenzi wa Jiji la Dar es Salaam, Elihuruma Mabelya, usafi Dar es Salaam.
Kiafya, foleni pia zinatajwa kusababisha maradhi ya akili, pumu, mfumo wa hewa, moyo na mzio utokanao na mafuta.
UJENZI wa Bwawa la Kidunda lenye uwezo wa kutunza lita za maji bilioni 190, pindi utakapokamilika Juni mwakani, utasaidia kipindi cha kiangazi kuwa na uhakika wa upatikanaji maji kwa wakazi wa Dar es ...
MATAJIRI wa Jiji la Dar es Salaam, Azam FC wameibuka na ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya KMC katika mchezo wa Ligi Kuu Bara ...
Bodi ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB) imesogeza mbele mchezo baina ya Simba na Dodoma Jiji FC ambao ratiba ya awali inaonyesha ...