MSHAMBULIAJI wa FC Juarez ya Mexico, Opah Clement anatarajia kucheza mchezo wake wa kwanza dhidi ya Chama la Mtanzania ...
MABONDIA 16 wa timu ya Taifa ya ngumi, wameingia kambini jana Jumapili tayari kwa maandalizi ya ushiriki wa mashindano ya ...
RAUNDI ya kwanza ya michuano ya Lina Tour kwa mwaka huu inatarajiwa kufanyika katika viwanja vya Gymkhana, mjini Morogoro na ...
Mwanamuziki mwenye asili ya Congo, Christian Bella, leo Februari 16,2025, amesema viongozi wa Afrika wanatakiwa kushikamana ...
WIKI ijayo Ligi Kuu ya Wanawake inarejea baada ya mapumziko ya siku 28 kupisha timu za taifa kwenye mashindano ya fainali za Mataifa ya Afrika kwa Wanawake (WAFCON) yatakayofanyika mwaka ...
UNAJUA nini? Juzi, Yanga ilikuwa mzigoni dhidi ya KMC katika mchezo wa Ligi Kuu Bara ambapo bwana harusi mtarajiwa, Aziz KI alitupia mabao matatu yaani hat trick katika ushindi wa vyuma 6-1 ...
Hatimaye Pamba Jiji imeingia kwenye nafasi 10 za juu katika Ligi Kuu Bara msimu huu baada ya kupata ushindi wa mabao 2-0 ...
KOCHA Mkuu wa Simba, Fadlu Davids amesema licha ya wachezaji kuwa katika fomu nzuri ya ushindani, lakini amegoma kuwapa mapumziko wakati mchezo wao na Dodoma Jiji ukiwa umeahirishwa kwa ...
KWA familia ya nyota wa Golden State Warriors, Stephen Curry, wikendi hii tangu juzi, Ijumaa ni mwendo wa pati tu na kutoa ...
RAIS wa Yanga, Injinia Hersi Said amesema uongozi wa klabu hiyo umegharamia asilimia kubwa ya sherehe ya Stephane Azizi Ki na ...
Msanii wa muziki wa Jazz, Blinky Bill kutoka Kenya, ameiambia Mwananchi Digital kuwa Tanzania imepoteza ladha ya muziki ...